SERIKALI WADAU WAKUTANA KUTAFUTA MWAROBAINI KUONDOKANA NA TATIZO LA WATOTO WANAOISHI NA KUFANYA KAZI MITAANI

Inaelezwa kuwa Tanzania inakabiliwa  na tatizo la kuwa na watoto wa mitaani na kwa takwimu zilizopo ni kwamba inakadiriwa kuwa na  idadi ya watoto 35,919 wanaoishi na kufanya kazi mitaani katika majiji na miji mbalimbali licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali pamoja na Wadau kutokomeza tatizo hilo. Hayo yamebainika wakati wa kikao kazi cha Makatibu